Mgonga Like
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 1,255
- 1,659
[emoji23][emoji23][emoji23]Karibu sana
Mimi huko twiter naitwa kigogo2014 wewe unatumia jina gani.
View attachment 1268182jinsia yangu ni ya kiume mkuu
Asnte sana karibu jamviniMimi jina langu ni Doen Gotez
Aseeh umenifurahisha sana mkuu, asanteni asanteni sana kwa kunikaribisha. Niko sawa mkuu
We ni mwalimu
Umeifahamuje jamii forum?
Nini kimekuvutia kujiunga na jamii forum
Wewe ni mtu wa wapi?
Kabila gani?
Unakiwango gani cha elimu?
Asante Sana mkuuKaribu sana
Umepatikana ki-fb.View attachment 1268182jinsia yangu ni ya kiume mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1268182jinsia yangu ni ya kiume mkuu
Vipi Lee mbona umeangua kicheko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha fujo mkuuAhaa sasa namba za cm mbona hujaweka