Wakuuu mbona mnaniogopa hivyo? Msiniogope bhana Mimi sio kigogo wala sio mbowe kuweni na amani wakuuu maana Tanzania watu wanaoogopwa ni wawili tu kigogo na mbowe, hao ndio wanaomega bajeti kubwa ya taifa kuwadhibiti huo ndio ukweli Kama wabisha niambie ni mtu gani ambae aliweza sababisha wabunge 30 kununuliwa na kuagiza makampuni ya nje ya IT kuja kuwashughulikia? Ni mbowe tu na kigogo
Sent using Jamii Forums mobile app
duhhh, we mgeni wa leo kiboko[emoji3]Wakuuu mbona mnaniogopa hivyo? Msiniogope bhana Mimi sio kigogo wala sio mbowe kuweni na amani wakuuu maana Tanzania watu wanaoogopwa ni wawili tu kigogo na mbowe, hao ndio wanaomega bajeti kubwa ya taifa kuwadhibiti huo ndio ukweli Kama wabisha niambie ni mtu gani ambae aliweza sababisha wabunge 30 kununuliwa na kuagiza makampuni ya nje ya IT kuja kuwashughulikia? Ni mbowe tu na kigogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe una akili sometimes,njoo nikupe beer mbilinimeisikia Hiyo harufu
Ila huyu mgeni!!!!?. The new page is loadingKaribu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT upate kufaidi.