Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MIMI ni member mpya wa jamii forum kwa hiyo natafuta rafiki wa kike kwa ajili ya urafiki wa kawaida na pia awe anasoma chuo kikuu ili tubadilishane mawazo kuhusu masuala ya elimu.
ukiona hivyo,wa kiume hawana jipya ama hawana mvuto lol...mi natafta marafiki wa kiume,mimi ni msichana mfupi,mnene wa kutisha,mweusi tiiiiiin kama **** la chungu,naamini nitapata wengi wa kumwaga,msini-disappoint...teh teh teh,kwanin usitafute rafiki wa kiume?