karibu mchumba zahuko utokako..?Hodi mtaa huu. Nafurahi kuwa mwanafamilia
umebaki wewe mbishi usietaka kusikiliza wanaume ukabadili avatarKaribu, avatar yako ni nzuri
taja bei
Karibu mrembo katika ulimwengi wa great thinkers
Hello! Naitwa Lucha sijaoa
Karibu mjukuu wangu.
wakuu huyu niachieni mimi mbona mnavichwa kama viberenge nyinyi hamuelewi...????????Karibu...
Naomba nijue kama wewe ni mshangazi au laa
Kwanini unataka huruma ya kuachiwa..wakuu huyu niachieni mimi mbona mnavichwa kama viberenge nyinyi hamuelewi...????????
ataje bei uijue kabisawakuu huyu niachieni mimi mbona mnavichwa kama viberenge nyinyi hamuelewi...????????
sasa kama mnaleta kiburi naharibu uzi mzima! nyie mtatambulishwa tu mimi ndo nitamtembeza mnataka nyote muongee mgeni atamuelewa nani! mwishowe aponyoke kuweni na staha!Kwanini unataka huruma ya kuachiwa..
Wewe mlemavu au..?
Pambana kaka ahahaha
😠ataje bei uijue kabisa
Survive for fittest... Kazasasa kama mnaleta kiburi naharibu uzi mzima! nyie mtatambulishwa tu mimi ndo nitamtembeza mnataka nyote muongee mgeni atamuelewa nani! mwishowe aponyoke kuweni na staha!
sasa wewe shupaza hilo komwe sasa hivi utaanguka kwa mbata toka kwa mzimu lilo!Survive for fittest... Kaza
Mi mwenyewe nishamuelewa unazani naachaje hapa kwa mfano