How are you? I am Emanuel Feruzi. I am a Free Software Consultant for FreeCode International. Also I am the founder and still an active member of the tzLUG. I am here to learn and to also share the little knowledge I have, especially on the field of IT. Please feel free to ask me questions, Iwill do my best to answer you.
Kitu kimoja ambacho kimewahi kunishtua katika masuala ya IT Tanzania ni kuhusu viwango vya malipo ya huduma ya mtandano, na jinsi wanavyopima. Unauziwa kwa data volume (as in GB / month). Nchi nyingine, unapounga mtandao wana ku charge kutokana na data access/download speed. Kwamba kama una high speed ya Cable au DSL basi inajulikana hiyo ni speed kadhaa na bili yako ni ile ile kila mwezi. Ukitaka ku-download data mpaka hardrive ipasuke, ruksa. Sasa huu mfumo wa Bongo mimi nadhani ni wizi mtupu, tena wengine wanakutega, wanakwambia unalipia pre-paid data amount fulani, lakini zikiisha wanaku charge as you go. Kampuni kama TTCL ina huo mpango wa limitation on data access/download kama wanavyojieleza hapa.
Je kuna kampuni unayoijua haina mpango huu wa kuibiana, specifically, wanao charge kwa speed, sio volume?