Nakuja kwenu wafikiriaji na wafikirishaji makini, nategemea kujifunza na kufunza mengi hapa JF. Nilikuwa nje nikaona jinsi mnavyofaidi humu, nimeamua kuwafuata.
Sifungamani na dini yoyote wala chama chochote cha siasa, napenda haki na heshima kwa kila binadamu. Hodi hodi.