Katungunya
Member
- Mar 19, 2013
- 35
- 33
Karibu sana JF...
ahsante naanzia wapi??
ahsante naanzia wapi??
Karibu sana JF mkuu.
Karibu
We ni mpenzi wa mambo yapi?
Kama unapenda siasa basi karibu JF Siasa
Kama unapenda ku-chat basi karibu JF ChitChat
Kama unapenda Mahusiano&Mapenzi basi karibu JF Mahusiano&Mapenzi
na majukwaa mengineyo.
Zaidi ukitaka rafiki, nipo hapa mpendwa.
ahsante sana nimepitia kote nimepaona
ahsante rafiki