youngashley Senior Member Joined Apr 26, 2013 Posts 187 Reaction score 52 Apr 26, 2013 #1 asanteni sana kwa kunisajili napia nawashukuruni sana na kuwaheshimu sana niliowkuta humu ndani.asanteni na pia najua mtanipokea
asanteni sana kwa kunisajili napia nawashukuruni sana na kuwaheshimu sana niliowkuta humu ndani.asanteni na pia najua mtanipokea
patience96 JF-Expert Member Joined Aug 19, 2011 Posts 1,353 Reaction score 574 Apr 26, 2013 #2 Karibu sana mkuu. Zingatia kanuni na masharti ya JF, kinyume na haya utakutana na ban za kufa mtu! Anyway karibu jamvini.
Karibu sana mkuu. Zingatia kanuni na masharti ya JF, kinyume na haya utakutana na ban za kufa mtu! Anyway karibu jamvini.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 8,659 Reaction score 2,227 Apr 26, 2013 #3 Karibu JF.
youngashley Senior Member Joined Apr 26, 2013 Posts 187 Reaction score 52 Apr 26, 2013 Thread starter #4 Asante