Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jf mm ni mgeni naomba kukaribishwa
Jf mm ni mgeni naomba kukaribishwa
Karibu Dr @Lugoma karibu mpaka ndani. Hapo kwenye fridge kuna vinywaji mbali mbali na vitafunio. Chagua upendavyo ujiburudishe. Karibu sana Mkuu.
Karibu JF.
Krb Dr.,
Nadhani wewe si Dr kama wale kina Dr Love Pimbi wala Dr. wa kuleta mvuto wa mapenzi, na kurudisha mpenzi aliyepotea!
wala si dr ambaye umepewa u-dokta bila kufanya andiko kama nanihi!
kama ndivyo basii JF dokta inakusubiri kuna foleni ya patients pale!
Karibu sana dokta!
Karibu sana JF.
matumaini yetu ni kuona ile wonderful hospitality.
Welcome to the world dr.
welcome
Na mimi nafarijikaKaribu sana JF...
Na mimi nafarijika