hello

hello

Ni karibia mwaka mmoja tangu gazeti pendwa mwanahalisi lifungiwe na serikali ya ccm,natumaini mwanahalisi lingekuwepo tungejua nani alimteka ABSOLOM KIBANDA,mauaji ya MWANGOSI yangekuwa wazi na mabaya mengine mengi yangekuwa bayana.Natumaini ipo siku ukweli utajulikana mbele ya umma na waliofanya hila juu la hili watakuja kuomba radhi.
 
Back
Top Bottom