chiefommy New Member Joined Feb 10, 2008 Posts 2 Reaction score 0 Nov 23, 2009 #1 Habari zenu wakuu mimi member mpya wa jamii forums napenda kuja kwa kasi mpya ari mpya na nguvu mpya katika kujenga taifa bora la tanzania Napenda kuwasilisha !!!!!!
Habari zenu wakuu mimi member mpya wa jamii forums napenda kuja kwa kasi mpya ari mpya na nguvu mpya katika kujenga taifa bora la tanzania Napenda kuwasilisha !!!!!!
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,553 Reaction score 2,380 Nov 23, 2009 #2 Karibu mteme ommary..careful huku kasi na nguvu vina challenjiwa sana ila ari unaweza kuitumia hawajaistukia bado.
Karibu mteme ommary..careful huku kasi na nguvu vina challenjiwa sana ila ari unaweza kuitumia hawajaistukia bado.