Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana jamvini, wadau wa magwanda nadhani wamekusikia jiandae tu kuvaa hilo gwanda.Hodi wanajamii.Ninaomba mnipokee kwa mikono miwili kwani ndio kwanza ninabisha hodi.Ni matumaini yangu kuwa mtanisaidia.Karibuni wilaya mpya ya Nyasa.Mwenzenu ninatamani saana nivae gwanda.