Hello

Frampo

New Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Hodi wanajamii.Ninaomba mnipokee kwa mikono miwili kwani ndio kwanza ninabisha hodi.Ni matumaini yangu kuwa mtanisaidia.Karibuni wilaya mpya ya Nyasa.Mwenzenu ninatamani saana nivae gwanda.
 
Hodi wanajamii.Ninaomba mnipokee kwa mikono miwili kwani ndio kwanza ninabisha hodi.Ni matumaini yangu kuwa mtanisaidia.Karibuni wilaya mpya ya Nyasa.Mwenzenu ninatamani saana nivae gwanda.
Karibu sana jamvini, wadau wa magwanda nadhani wamekusikia jiandae tu kuvaa hilo gwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…