NafanyaYangu
Member
- Aug 16, 2013
- 67
- 9
Tuko pamoko mkuu!
Nimecheka sana uliposema wewe m'bishi! Hahahahaha!
Habari members,
Mimi mgeni hapa, napenda kushirikiana na nyinyi!
In short ni dume, mwanafunzi wa chuo, mcheshi, mbishi, mkosoaji, sina chama wala sishabikii mpira
Naamini kuna Mungu
Na ningependa kufanya urafiki na watu wote
... Ila hujasema kitu fulani unachokipenda sana .......hali kadhalika unachokichukia ........
Karibu sana JF na MMU.
Nashukuru, ungetakiwa uni
karibishe mara nane lakini, hao watu7 waliobaki vipi
Kama huna chama na hupendi kandanda sasa huo ubishi wako huwa ni nin hasa ama mihadhara....
Mkuu, Most welcome...Mazuri yeu chukuwa yatakufaa na baya yetu acha humuhumu...Karibu paomja na wewe tutafika.Good luck ! na kila la heri.
Kwanza karibu pili kweli ww mbishi humu kuna wabishi balaaaa karibu sana mkuu
Mpendwa jioni njema, Umenifurahisha kwakuwa upo optimistic kuwa uzuri ni 100% !! ThankYou hayo ndiyo yatakayotufikisha.... bahari hii tunakutana na samaki wa aina nyingi..game ipo upande wako "utamaduni wetu ndiyo dira yetu" good luck and success ahead.Shukrani, mi siamini uwepo wa mabaya naamini kuna kukosea