Hello

Hello

Joined
Sep 9, 2013
Posts
9
Reaction score
2
Natanguliza heshima kubwa mbele ya jukwaa hili makini ambalo nmekuwa nikihaishwa kwa kipindi kirefu sasa na hawa GT wa humu ndani... Thank u.
 
karibu sana mkuu, humu kuna Great thinkers wengi ila wengne mmh!
 
Natanguliza heshima kubwa mbele ya jukwaa hili makini ambalo nmekuwa nikihaishwa kwa kipindi kirefu sasa na hawa GT wa humu ndani... Thank u.

karibu kijana lakini inatakiwa uzikubali challenge za humu maana kuna watu kazi yao ni kuponda wenzao tu... by the way karibu sana kijana
 
yaaahhh nimekuwa nkipitia post za watu wengi saana kwa muda mrefu sasa me naamin ni kitu kikubwa ambacho kitanjenga.
 
Mpia msuli,oilsumu,allyshabab na chat55 hawa ndo habar ya mjengo
 
Natanguliza heshima kubwa mbele ya jukwaa hili makini ambalo nmekuwa nikihaishwa kwa kipindi kirefu sasa na hawa GT wa humu ndani... Thank u.

tunategemea mawazo chanya toka kwako naamin yatafaa ili twende tunakokusudia!!!
 
Back
Top Bottom