Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo safi kabisa karibu.Naamini mpo salama katika jumuia hii ya jamiiforum, mimi nmekua msomaji tu kwa muda wa miezi karibia mwaka. Naomba mnipokee, nilikua siifahamu jamiiforum, kuna rafiki yangu alinitambulisha
Naamini mpo salama katika jumuia hii ya jamiiforum, mimi nmekua msomaji tu kwa muda wa miezi karibia mwaka. Naomba mnipokee, nilikua siifahamu jamiiforum, kuna rafiki yangu alinitambulisha
Tupo safi kabisa karibu.
Karabu kwenye raha na karaha
karibu mjengoni
kumbe ndio raha ya kujitambulisha! mi nakumbuka sikijitambulisha