P Pandisho New Member Joined May 11, 2010 Posts 4 Reaction score 0 May 11, 2010 #1 My name is pandisho,tafadhali naombeni ukaribisho wenu,nimeamua kujiunga baada ya kuona mawazo ya vichwa vilivyomo humu.Bila shaka sijachelewa sana kama ambao hawajajiunga
My name is pandisho,tafadhali naombeni ukaribisho wenu,nimeamua kujiunga baada ya kuona mawazo ya vichwa vilivyomo humu.Bila shaka sijachelewa sana kama ambao hawajajiunga
JM Aristotle Senior Member Joined Mar 9, 2010 Posts 163 Reaction score 4 May 23, 2010 #2 Yeah! hujachelewa bwana Pandisho... Karibu sana!!!
Hebrew JF-Expert Member Joined Jul 3, 2008 Posts 562 Reaction score 170 May 24, 2010 #3 Karibu sana hapa JF
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,401 May 24, 2010 #4 Karibu sana JF tuko pamoja