Hello

Hello

NGOJA mie niwe mkweli tu mwaya, siku hizi nimekuwa mwoga kweli , naogopa sana wageni!..hii tabia imenijia ghafla kuanzia mwezi huu wa 8, maana nimepata wageni wengi kweli, na wengine wamekuja kuniharibia KAYA yangu!

Lakini MasterMind nadhani we ni mgeni mzuri!...Karibu mwaya!
Jiskie nyumbani!
 
NGOJA mie niwe mkweli tu mwaya, siku hizi nimekuwa mwoga kweli , naogopa sana wageni!..hii tabia imenijia ghafla kuanzia mwezi huu wa 8, maana nimepata wageni wengi hadi kweli, na wengine wamekuja kuniharibia KAYA yangu!

Lakini MasterMind nadhani we ni mgeni mzuri!...Karibu mwaya!
Jiskie nyumbani!

Nashukuru kaka....
ila umeniogopesha kidogo! ilaelekea kuna watu hatari sana humu....?
 
Nashukuru kaka....
ila umeniogopesha kidogo! ilaelekea kuna watu hatari sana humu....?
Usiogope hamna watu hatari kama unavyofikiria, hapa amani tu kwa sababu kuna sheria zinazotuongoza!
 
Back
Top Bottom