hello

:welcome:unagonga, wakati uko sebuleni tayari, jisikie uko home!
 
karibu sana sweet pie....mwenyeji wa wapi??
 
dah mpwa hebu angalia hapa chini



umeshaanza chenga mapema ivi? hakyanani utakuwa mwenyeji wewe ngoja nitafute mawani......haya he/she?:becky:

Na huwa najua miwani :glasses-nerdy:yako haikosei linapokuja suala kuchunguza jinsia
 
karibu sana! jisikie upo nyumbani kwako!
 
karibu sana mrembo.. umegonga hodi mahala pake! jukwaa la mahusiano na mapenzi!! naomba huu uwe ndio uwanja wako!.. wafuasi wengi wametukimbia kwenye mambo ya uchaguzi! PM invisible akupe access katika jukwaa la mambo ya kikubwa
karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…