helloJF members

Maturo

Member
Joined
Aug 12, 2009
Posts
6
Reaction score
0
hi everybody! ckujua kam kuna jf yaani laiti ningejua long time
 
hi everybody! ckujua kam kuna jf yaani laiti ningejua long time
Nadhani ulikuwa unaijua JF, ila sema tu hukujua mapema kwamba JF inaweza kukusaidia kutangaza ile nyumba inayopangishwa kule Mbezi !! Karibu sana mkuu, ila usisahau kutuwekea bei na picha ya hiyo nyumba!
 
Siyo hukujua mapema kaka,wakati ukifika ndo umefika,kila jambo na wakati wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…