afadhari umefunika hivo vidude na mikono
Karibu sana
Asante FirstLady!Ntaibadilisha maana naona hamuipendi!
Asante FirstLady!Ntaibadilisha maana naona hamuipendi!
But daddyyyy.....
Ningeweza kuondoka ujue!Maana karibu nyingine hata hazikaribishi!!
Habari yenu wote wahusika wa hapa?
Nawasalimu katika jina la bwana!Naomba mnikaribishe tafadhali.
Thank you guys!Ntafuata nyayo zenu mlionitangulia!!