L lugano nzowa New Member Joined Oct 26, 2011 Posts 1 Reaction score 0 Nov 4, 2011 #1 hello wanajamii forums Jukwaa la sheria Naomba kuuliza je kampuni inaweza kushitakiwa kwa makosa ya jinai na ya civil pia naomba kujua kama member wa kampuni anaweza kuwa agent wa kampuni
hello wanajamii forums Jukwaa la sheria Naomba kuuliza je kampuni inaweza kushitakiwa kwa makosa ya jinai na ya civil pia naomba kujua kama member wa kampuni anaweza kuwa agent wa kampuni