Hellooo JF

Andfaru

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2012
Posts
221
Reaction score
150
Wadau nafurahi sana kujiunga na umma huu wenye mawazo chanya katika kuleta ukombozi wa kifikra hapa nchini............:happy:
 
Karibu sana , nidhamu mbele vinginevyo tunakupeleka kwa ngwilizi
 
Du karibu lakini ameingia choo cha kike mtoeni asije kutwa na kina mama!
 
Wadau nafurahi sana kujiunga na umma huu wenye mawazo chanya katika kuleta ukombozi wa kifikra hapa nchini............:happy:

Umekuwa Sheikh Yahya!? Umejiunga leo tayari umehitimisha JF in mawazo chanya!! Anyway usisahau kusoma ette quette za JF
 
Karibu sana Andrew,daaaah!chozi limenitoka,kila nikiona jina la Andrew napungukiwa na furaha,namkumbuka sana rafiki yangu kipenzi aliyeuwawa na majambazi(RIP my friend Andrew).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…