planner man
Member
- Jun 12, 2013
- 25
- 25
Ndugu na thinkers jf
Napenda kujitokeza leo kua mmoja wa wachangiaji katika forum yetu yenye kila sababu ya kuitwa mwakilishi wa hali halisi ya maisha yetu ya kila siku.
Nina issue ningetaka tujadili bila kwenda kisiasa.
Tanzania tumekua na migodi ambayo uzalishaji ni mkubwa ila mapato ya wenyeji na kama nchi ni mdogo pia.
Kama product ilivyo soko la dunia price ni moja kwann mfanyakazi wa australia kipato kipo juu like 1000 times our african countries? Je serikali ingeipa priority hii issue walimu wangegoma ilhali p.a.y.e ya mfanyakaz mmoja ingetosha for may be walimu watatu? Thanx tujadili please