Hellow Golden

Mgeni jamani.natumai wote members wa hili jamvi mmenikaribisha.naombeni ushirikiano wenu jamani
Karibu mkuu umepata bahati ya kukutana na the Great thinker kuliko wote jamii forum mr Zero IQ.

Ukiwa na tatizo lolote la kiufundi karibu sana PM.
 
Mimi nina divs3 ya 23.lakini Nina D ya mathematics na chemistry ila physics na biology Nina C.kuna uwezekano wa kuchaguliwa PCB kwa shule za serikali za kidato cha tano
 
Amekuambia uende PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…