Msione nipo kimya sileti nyuzi za kuwachekesha za hapa na pale,ninangonjeka mwenzenu ,naumwa pia dawa zinanipeleka puta kweli,muda si mrefu nitakuwa katika hali yangu ya kawaida nitawaletea maubuyu ya kutosha,vituko vya mtaa ili maisha yaende tu maisha ndio haya haya tu hakuna namna ,sijisikii vyema kabisa hii weekend sijatoka kabisa kama mfungwa vile mambo ni hiviiiiiiiiii ,,mambo ni motooo[emoji621][emoji621][emoji621][emoji621][emoji621][emoji621]