Weka pichaMkojo na mate!
Sory wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu hivi ni kwa nn baadhi ya wanaume hua wakijisaidia haja ndogo ni lazma watemee hapo mate!!na vile vile kama mnaongozana wawili au watatu mmoja akaingia chaka kukojoa na wengine unawaona haoo nao wanakojoa hv inakuwaje hili??? Nawasilisha
Tanzania ya viwanda!!!!Mkojo na mate!