My god win
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 361
- 239
Habari.napenda kuwasalimia na kuomba ushirikiano wenu kwa jambo lololote lile.Asanteni[emoji120]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante @Amoxlin:ntawakaribishaNakukaribisha kwa dhati toka ktk uvungu wa moyo wangu.
Karibu sana, waambie wengine nao wakaribie kwa wingi.
Soda tu tena ya Mia tano.VIP ntapata ya baridi saaanaKaribu mlango uko wazi vp wee unatumiaga kinywaji gani!!
Asantewaaoooo! kalbu ndan e.
Asantekaribu sana.
AsanteKaribu mpendwa
Haya kuuIpo mkuu wewe tuu mwite mhudumu agiza wewe mwenyewe kwa mdomo wako endelea mi nitakuja kulipa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]