madam boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 701
- 742
- Thread starter
-
- #21
AsanteKaribu sana madam boss
Waoooo, embu nikumbushemambozz jane !nilikua na ww group watsap 1 !lol!karibu mwaya
Mimi nakupa moja wapo, "weka akiba ya maneno"!!Asante. Sina. Najitahidi kuzisoma. Ili nisivunje sheria
I'm the queen of my own empire. [emoji182]
Wew n mgen umeshajua kuna ID nyngi?? mmmh wew ni mwenyeji mzoefu kabsa inaonesha., wagen huwa hawajui hata multiple ID n ninHanapa ndugu. Sina hata ID yoyote zaidi ya kuwa msomaji bila kujisajili.
I'm the queen of my own empire. [emoji182]
Ndio wapoAsante. Kwani humu kuna watu wameoana.???
Naomba list ya waliofunga pingu za maisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I'm the queen of my own empire. [emoji182]
Hahahahaha.Unaongezaje I'd nyingine??? Mbona siwaelewi??
I'm the queen of my own empire. [emoji182]
Ni mtazamo wako.Wew n mgen umeshajua kuna ID nyngi?? mmmh wew ni mwenyeji mzoefu kabsa inaonesha., wagen huwa hawajui hata multiple ID n nin
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Asante sana kwa taarifaNdio wapo
Kuwa makini
invest what you are willing to loose
Asante. Ila sijakuelewa. Nawekaje akiba ya maneno??Mimi nakupa moja wapo, "weka akiba ya maneno"!!
Mtazamo wangu kuwa wew sio mgen ni mwenyeji kabsa, unaipromoti id mpya..ya zaman either umepgwa ban, umesahau nywila au umeipumzsha tuNi mtazamo wako.
I'm the queen of my own empire. [emoji182]
Ucwe na shaka with time utanielewa tu na siku utakayo elewa usisite kunijuza!!Asante. Ila sijakuelewa. Nawekaje akiba ya maneno??
I'm the queen of my own empire. [emoji182]
AsanteHahahahaha.
Kwa hili jibu hata mgeni akija leo ataelewa hii ni id nyingine.
Karibu tena unaweza nisaidia id yako ya zamani.
hata sikuelewiMtazamo wangu kuwa wew sio mgen ni mwenyeji kabsa, unaipromoti id mpya..ya zaman either umepgwa ban, umesahau nywila au umeipumzsha tu
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Mhuu. Haya. AsanteUcwe na shaka with time utanielewa tu na siku utakayo elewa usisite kunijuza!!
Karibu na usiku mwema.Mhuu. Haya. Asante
I'm the queen of my own empire. [emoji182]
utaelewa badae, wafukua makabur tupohata sikuelewi
I'm the queen of my own empire. [emoji182]
Mhuuutaelewa badae, wafukua makabur tupo
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
AsanteKaribu na usiku mwema.
Karibu tena Mwenyeji mzoefu mkongweMhuu
I'm the queen of my own empire. [emoji182]
[emoji22][emoji22][emoji22]Karibu tena Mwenyeji mzoefu mkongwe
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone