Skorondinga
Member
- Nov 19, 2018
- 20
- 8
Habar wana jukwaa mi mgeni jamii forum,napenda kuungana na ndugu zangu kuchangia mawazo maoni mbalimbali pia kujifunza,asanteni
AsanteeKarbuui
Karibu sana JFHabar wana jukwaa mi mgeni jamii forum,napenda kuungana na ndugu zangu kuchangia mawazo maoni mbalimbali pia kujifunza,asanteni
Kivipi ndugu yangu cjaelewakaribu sana... ila kumbuka kuzungushia chumvi kifaa unachotumia kupostia... kuna mashetani wengi mno humu..