C Coach Jerry New Member Joined Apr 13, 2021 Posts 3 Reaction score 3 Aug 8, 2021 #1 Habari ndugu zangu wa Jamii Forum , rasmi nami nimejiunga na familia ya JF baada ya kupotea kwa muda mrefu hivyo ndugu zangu naombeni mnipokee
Habari ndugu zangu wa Jamii Forum , rasmi nami nimejiunga na familia ya JF baada ya kupotea kwa muda mrefu hivyo ndugu zangu naombeni mnipokee
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Aug 8, 2021 #2 Huna kirusi uviko wewe..?
C Coach Jerry New Member Joined Apr 13, 2021 Posts 3 Reaction score 3 Aug 8, 2021 Thread starter #3 Nikikuwa natumia Mlosa Jr muda japo sikuwa Active zaidi ya kusoma jumbe za watu tu
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Aug 9, 2021 #4 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 24,606 Reaction score 39,289 Aug 10, 2021 #5 Karibu
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,784 Reaction score 13,642 Aug 10, 2021 #6 Unamjuwa kocha mnungwi
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Aug 12, 2021 #7 Karibu sana JamiiForums...