Kwa mara ya kwanza nafurahii sana kuwa mmoja wa wanafamilia ya Jamii Forum. Nutamini kushirikiana na nyie katika kujadili mada mbalimbali. Asanteni sana.
kwa mara ya kwanza nafurahii sana kuwa mmoja wa wanafamilia ya jamii forum. Nutamini kushirikiana na nyie katika kujadili mada mbalimbali. Asanteni sana.
mkuu karibu sana jf, hapa utawapata watu wa rika mbalimbali , elimu na wenye mawazo mabalimbali, jifunze kuandika, kuuliza na kujibu kwa hoja. Karibu sana.