Maandiko yako yaegemee kwenye ukweli , always egemea kwenye kuzijadili mada badala ya kujadili personal issues , kuwa makini na vyanzo vyako vya habari ( uchunguzi ni muhimu ) , Fools are everywhere , kwa hiyo hata hapa Jf wapo , baadaye kidogo nitakuwekea majina yao , matusi , kejeli na uongo ni sehemu ya maisha yao ! Kuwa mvumilivu maana matusi hayaunguzi mwili , vinginevyo nikuulize kidogo , Hivi na wewe ni mgombea mtarajiwa wa ubunge ? Maana hao ndiyo wanaoamini Jf ndiyo jukwaa la Kampeni .