Mimi ni mgeni wa Jamiiforum, nilijiunga wiki chache zilizopita lakini sikupata muda wa kuanza kuzungumza na wahusika humu.
Naomba nikaribishwe nikiamini itifaki imezingatiwa.
Umri wangu miaka 25
jinsia: ME
Kama kuna kanuni,amri,sheria au taratibu mnielekeze hasa wale wakongwe/wahenga.
Asanteni na MUNGU AWABARIKI NYOTE HUMU NDANI.