Background Check
JF-Expert Member
- Jun 28, 2019
- 341
- 498
Asante, sana nimekaribia.Karibu sana mjuzi
Melezo yenye mkanganyiko upi?Unaishi wapi tunaomba maelezo ili account yako tuiunganishe Na Google upate maeleze yenye mkanganyiko zaidi kuliko member wengine Mimi Adimini
Asante sanaKaribu
Cheti cha kuzaliwa sinaga mkuu, labla namba ya simu. Ambayo nimejaza kwenye detail za kujiunga jamii forumAnamaanisha utume jina lako kamili,namba ya simu,picha yenye sura yako na birth certificate
Asante sana Da Rebeca 83karibu JF Mjuzi