Sichagui msosi kwa njaa nlonayo mkuuOhoo! Atakuja na sura ya kisokwesokwe shauri yako
Duh...hata nyama ya chatu ilopikwa utakula tu...wewe hahahaSichagui msosi kwa njaa nlonayo mkuu
Mkuu wivu au? Unanikatisha tamaa kweliDuh...hata nyama ya chatu ilopikwa utakula tu...wewe hahaha
Waeza tangulia weweNenden pm
Shukran aseeKaribu mkuu mtutuwajambazi
Habari yako??Helllow
MjunguNani mwenzangu...
Habari yako??
Acha kukata tamaa ndugu, duniani kuna mengi ya kustaajabu....kuna jamii inakula vitu vya kustaajabishaMkuu wivu au? Unanikatisha tamaa kweli
Hawataki kwenda huko, wanataka hapa hapa sebuleni tuone salamu zao za Redio TanzaniaWaeza tangulia wewe