Gideon G Kadoleza
Member
- Oct 12, 2016
- 32
- 13
umgeni umekuaja na nin???,,
ela ya kiingilio napokea mim.
jitambulishe vzur na kiundan
Lah! utazulumiwa ndugu weka macho kodo!ha ha ha Kimbugu, Tafadhali bhana Pesa Ya Kiingilio ntalipa wala Usijali Si Unajua Baba Jesca na Mdogo Wake Wamezuia Mikopo!!???....
Naahidi Punde Akitupatia,Ntakuletea Ndugu Niwie Radhi......
Lah! utazulumiwa ndugu weka macho kodo!
Mwakeye. Ulimo? You are warmly welcome.Hellow Guyz Am new here,And All I need Is Your Support.
And Am Happy To be Here At Jamii Forum, Love you All......
Mwakeye. Ulimo? You are warmly welcome.
Mkuu naamini hilo ni jina lako halisi!
Nakushauri omba ubadilishiwe uwekewe fake Id maana huku watu ni nuksi.
Zaidi ya hapo nakutakia kila la kheri humu Jukwaani!
Wanaume hatusalimiag [HASHTAG]#hellow[/HASHTAG] hizo salam za kidem mkuu,,,,,,,,Hellow Guyz Am new here,And All I need Is Your Support.
And Am Happy To be Here At Jamii Forum, Love you All......
Mwamnifu duh, umeambiw kuna kaz ya kuuz dukan humu!!!!!Asanteni Woote Naahidi Kua Muaminifu
Eeh!!,Mwenyezi Mungu Niongoze....