hellow

nimechukua mda mrefu kuingia jf bila kua member, members karibia wte hawaeki pic, na mm ni mwanasiasa so itakuaje siku nitakayotoa hoja nikashuhulikiwa
Sio kwenye prfl yaani unapost picha yako tukuone hata sisi wengine tulipojiunga tulipost na picha ili tutambuane
 
asigwa mbona umepotea hivi jamaniiii, yaani kidogo nianzishe uzi hapa JF wa kukutafuta kama Mshana jr anavyotafutwa akipotea!
ha ha ha
mkuu nipo aiseeee majukumu tu ndio yanabana si unajua tena.

Nakuona bado na wewe upo jamvini tu aisee
 
ha ha ha
mkuu nipo aiseeee majukumu tu ndio yanabana si unajua tena.

Nakuona bado na wewe upo jamvini tu aisee
Au ulikuwa Bariadi katika shughuli ya kuzima Mwenge? wewe hukurudisha posho? hahahahahahahh
 
Au ulikuwa Bariadi katika shughuli ya kuzima Mwenge? wewe hukurudisha posho? hahahahahahahh
ha ha ha
hapana mkuu, nina mwanamke mmoja mtata sana aisee.

Siku akiamka vibaya huwa ananifungia ndani na kuninyang'anya pasiwedi zote, nashindwa kuingia hata mtandaoni.
 
ha ha ha
hapana mkuu, nina mwanamke mmoja mtata sana aisee.

Siku akiamka vibaya huwa ananifungia ndani na kuninyang'anya pasiwedi zote, nashindwa kuingia hata mtandaoni.
Mpe nywila (passoword) zote hadi za bank hahahhahaah
 
Mambo si ndo hayoo!!fasta bhana niko hapa stendi nasubiria[emoji86] [emoji86] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
sio ktk mila zetu kuweka pic hadharani nimeeka profile na pia nilichokijia humu kupata habar na kupeana michango
 
Huyu wa kiume wadau msiadaike naye ,kwanza mara ya kwanza aliandika yeye ni male kabla hajaweka avatar

Baadaye alivyoona watu wamemuhisi yeye ni ke akabadili profile yake na kuandika female
 
Huyu wa kiume wadau msiadaike naye ,kwanza mara ya kwanza aliandika yeye ni male kabla hajaweka avatar

Baadaye alivyoona watu wamemuhisi yeye ni ke akabadili profile yake na kuandika female
so itanisaidia nn mm nimekuja hapa kujitambulisha as member sijaja kutafuta frnds wala kuja kujieka km mal o femal so ndo mfano nikidanganya itanisaidia nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…