brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Ha ha ha, ma mafia huwa hatudanganywi tumia Id yako ya siku zote bobso itanisaidia nn mm nimekuja hapa kujitambulisha as member sijaja kutafuta frnds wala kuja kujieka km mal o femal so ndo mfano nikidanganya itanisaidia nn
Karibu sana Jamii Forum kisima cha maarifa.jina langu ni aleesha, naishi znz ni member mpya naomba ushirikiano wenu
Na'am.., khaswa usiweke sura bila kuvaa hijabu !!!sio ktk mila zetu kuweka pic hadharani nimeeka profile na pia nilichokijia humu kupata habar na kupeana michango
Dah huo mdomo ni wako ? Kuna wadau humu eti walisema ukitaka kujua ...angalia mdomo sijui kama ni kweliila [part of my pic ipo kwny prfl
anafanana na princess nani sijui wa humu humu mpaka avaterYaani wew si ata mgeni wageni huwa wanauwoga flani wawapo sehemu ngeni lakin wew unaendelea kuuvunja mwiko
Sio mgeni huyu mkuu anawachora tu wanavyompapalikiaYaani wew si ata mgeni wageni huwa wanauwoga flani wawapo sehemu ngeni lakin wew unaendelea kuuvunja mwiko
Karibu aleesha, nipo bububu skuli nitakupim tufahamiane zaidijina langu ni aleesha, naishi znz ni member mpya naomba ushirikiano wenu
Ushirikiano utapata mremboahsante sana
Ni kweli kuwa wanaume wa Zanzibar huwa wanavaa pochi mkuu?[emoji1][emoji116]how? cjakufaham