hellow!

hellow!

Joined
Jun 28, 2017
Posts
13
Reaction score
4
Habari zenu wadau na watanzania wenzangu, ni member mpya wa jf hivyo naomba tushirikiano wenu ktk hatuwa zote
 
Inaonekana kiswahili kina kupa tabu sana
 
Habari zenu wadau na watanzania wenzangu, ni member mpya wa jf hivyo naomba tushirikiano wenu ktk hatuwa zote
Karibu sana Mkuu. Ila huku jitahidi Uwe unaandika vema. Kuna mama wa lugha maarufu kama FF, mwenye msemo wake maarufu "Huko shule mlienda kujifunza ujinga?" Kisha anakuachia tusi , 'Punguani Wahed'.

Kwa hiyo ujitahidi kuandika vema kabla hajakukuta. Mfano wa makosa katika andishi lako ni;
Tushirikiano = tushirikiane
Hatuwa = hatua.

Kwa hiyo kuwa makini maana hana hata huruma kwa wageni.

Baada ya hayo, karibu sana JF. The home of Great Thinkers.
 
Back
Top Bottom