mr never give up
Member
- Jun 28, 2017
- 13
- 4
Karibu sana Mkuu. Ila huku jitahidi Uwe unaandika vema. Kuna mama wa lugha maarufu kama FF, mwenye msemo wake maarufu "Huko shule mlienda kujifunza ujinga?" Kisha anakuachia tusi , 'Punguani Wahed'.Habari zenu wadau na watanzania wenzangu, ni member mpya wa jf hivyo naomba tushirikiano wenu ktk hatuwa zote
Toka juzi unamkaribisha Leo???Karib
Wewe ni Me au Ke?Habari zenu wadau na watanzania wenzangu, ni member mpya wa jf hivyo naomba tushirikiano wenu ktk hatuwa zote
Tatizo liko wapi?Toka juzi unamkaribisha Leo???