Frensafrancy
Member
- May 21, 2018
- 8
- 4
Hahhahaha usingizi akuna nduguUnawanga mida hii auu
eheheeh ni mwendo wakuzisoma namba tuu na badooHahhahaha usingizi akuna ndugu
Noma kwel kwel nahic wote tuna isoma namba mahana wote atuna usingizi hahhahaeheheeh ni mwendo wakuzisoma namba tuu na badoo
hahah hatupo huko kwenuNoma kwel kwel nahic wote tuna isoma namba mahana wote atuna usingizi hahhaha
Haya bhana nikajua tuna isoma namba wote mkuu huku hali tete tuhahah hatupo huko kwenu
Mida hiyo ilikuwa mibaya.Habari za humu