Hellow!

Hisopo

Member
Joined
Jun 28, 2021
Posts
21
Reaction score
39
Habari wana jamiiforum,

Nikiwa member mpya napenda kuwasalimu nyote, nafurahi leo hii kujiunga pamoja nanyi.

Natumai nitaelimika, kunufaika na kufaidika kwa michango yenu mbalimbali kwenye mada tofauti tofauti na majadiliano yenye tija!

Asanteni sana!
 
Jf ya sasa huelimiki
 
Karibu sana bila shaka wewe ni mlimbwende!? Kama jibu ni ndio upo mahali sahihi usisite kunieleza jambo lolote linalokutatiza
 
Hisopo!!!
Natafakari hili jina! unaweza kunisaidia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…