Naam!
majoto
Bila shaka mkuu,
Hisopo; ni mmea fulani kama mti wa mwanzi, ulitumika sana mashariki ya kati enzi hizo katika mambo ya kidini, hasa kusafisha na kutakasa watu na vitu kiimani.
Referred:
Hesopo ni mti :
1wafalme 4:33 "akanena habari za mti , tangu Mwerezi ulioko Lebanoni hata HISOPO umeao ukutani , pia akanena habari za wanyama , na za ndege, na za vitambaavyo na samaki"
Yohana 19:29 "Kulikuwako huko chombo kimejaa SIKI; basi wakatia SIFONGO iliyojaa SIKI juu ya ufito wa HISOPO wakampelekea kinywani"
HISOPO mmea uliotumika kusafisha na kutakasia.
•MAMBO YA WALAWI 14:4
"ndipo huyo kuhani ataagiza kwamba watwae kwa ajilia yake atakaye takaswa ndege wawili walio hai, ambao ni safi na mti wa mwerezi na sufu nyekundu na HISOPO"
Pia: WALAWI 14:49, 51, 52.
HESABU 19:6, 18.
•ZABURI 51:7
"Unisafishe kwa HISOPO nami nitakuwa safi , unioshe , nami nitakuwa mweupe kama theluji"
Naamini umepata mwanga (ideal) kidogo mkuu!
^^^Japo Mimi sio pastor wala religious man , just normal personal .