hellow

hellow

ashraf mbarouk

New Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1
Reaction score
0
natumai muko na afya njema mukiwa mnaendelea kulihudumia taifa, lengo langu ni kukuulizeni kua nataka kuanza mifugo ya kuku wa kienyeji ila nashindwa kujua nianze vipi ili iwe nimetumia njia za kisasa. so naomba ushauri wenu kuhusiana na shida yangu hio.
natumai kusikia kutoka kwenu.
asanteni sana.
 
kuna thread za kumwaga humu ndani khs ufugaji wa kuku,tazama utapata majibu.
 
Back
Top Bottom