hellow

hellow

JF inanipa utata kidogo sababu kuna nisivyo vielewa ndo utata sijaweza fatili thread zote vyema ndo shida apo but nna anza kuelewa kidogokidgo
 
Mambo mazuri hayataki haraka. Utaelewa tu.
 
karibu mgeni wetu, jihudumie mwenyewe FReezer.jpg
 
JF inanipa utata kidogo sababu kuna nisivyo vielewa ndo utata sijaweza fatili thread zote vyema ndo shida apo but nna anza kuelewa kidogokidgo

Nahisi kama wewe ni mgeni mwenyeji vile..
Ila karibu.
 
Back
Top Bottom