hellow

king fizo

Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
16
Reaction score
2
nakumbuka naanza form 1 2naitwa njuka xo c mbaya 2kakaribishana kwa wema .from mwanyamala .DSM
 
Karibu sana, leo uje Leo tupo hapa pub mwananyamala A wana Jf member tutakuwepo hapo.
 
Karibu sana, leo uje Leo tupo hapa pub mwananyamala A wana Jf member tutakuwepo hapo.
Mimi npo hapa Uhuru peak napata kwanza mchemsho wa samaki..2taungana hv punde.
 
nakumbuka naanza form 1 2naitwa njuka xo c mbaya 2kakaribishana kwa wema .from mwanyamala .DSM

Karibu sana ila huku hizo "2ka. xo, c mbaya" , sio mahali pake, huku ni kwa GTs, ni tofauti na facebook
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…