Mimi ni mgeni mwenyeji,kwani nimekua nikipitia hii forum nakuona ina mafunzo mengi sana humu ndani ntatoa ushirikiano wangu kwa uwezo nilio nao naombeni ushirikiano wenu pia,asanteni sana
Karibu sana mama. Ni matarajio ya wengi kuwa akina mama wakiwa mstari wa mbele ktk siasa tutapiga hatua kubwa kidemokrasia. Usiache kutembelea jukwaa la siasa. Welcome at home(JF)!.