N nyamate Member Joined Aug 3, 2010 Posts 25 Reaction score 0 Aug 3, 2010 #1 jamani hamjambo humu,mm ni mgeni lakini naona kuna mistari mikali kweli.Tuko pamoja lakini lazima ni face challenges.
jamani hamjambo humu,mm ni mgeni lakini naona kuna mistari mikali kweli.Tuko pamoja lakini lazima ni face challenges.
MLATIE Senior Member Joined Apr 14, 2010 Posts 179 Reaction score 16 Aug 3, 2010 #2 karibu huku watu ni wastaarabu hakuna matusi ni habari za kujenga zaidi
N nyamate Member Joined Aug 3, 2010 Posts 25 Reaction score 0 Aug 4, 2010 Thread starter #3 MLATIE said: karibu huku watu ni wastaarabu hakuna matusi ni habari za kujenga zaidi Click to expand... Asante sana Mlatie tuko pamoja.:hippie:
MLATIE said: karibu huku watu ni wastaarabu hakuna matusi ni habari za kujenga zaidi Click to expand... Asante sana Mlatie tuko pamoja.:hippie: