Helo am new here,

Karibu.

Tungependa kujua umri wako?
Umeolewa?
Una watoto wangapi?

Jibu liambatane na picha yako na no ya simu karibu sana.
 
Karibu.

Tungependa kujua umri wako?
Umeolewa?
Una watoto wangapi?

Jibu liambatane na picha yako na no ya simu karibu sana.
35yrs
Nimelewa
Ni mchungaji
Nina mtoto 1
Kupist picha bado sijajua
 
Karibu sana JamiiForums...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…